▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO CLICK HERE DOWN▼▼▼
Sasa mmoja wa viongozi wa chama cha wachekeshaji Tanzania, Mkono amesema Kinyambe amekutwa na umauti katika hospitali kuu ya mkoa wa Mbeya. Ambapo amedai Kinyambe alikuwa akisumbuliwa kwa muda mrefu na Uvimbe Tumboni.
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Amiin
PICHA ZA MSIBANI MBEYA
Post a Comment